Oa unayempenda, hata akikukera upendo uta sawazisha, usiempenda hata aku peti vip utamuona anakutia njaa tu na atakuzidishia madhambi tu. Mana utamtendea vioja na michepuko kwa sana, sasa na wewe ukinikubali mimi kisa mi nimekupenda ila we hujanipenda ndezi ni wewe na mshnd ni mimi.
NB: Huo ni mtazamo tu kama mambo yamegoma na nimeangalia penye uafadhali kwangu kulingana na swali lako, ila mwanamke asienipenda sioi.