jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,189 Oct 7, 2016 #1 Huyu ni mmoja kati ya mwanazuoni mtarajiwa wa IFM
multiple JF-Expert Member Joined Feb 14, 2016 Posts 650 Reaction score 1,295 Oct 7, 2016 #2 nimepata tabu saana kusoma nakuelewa alicho maanisha....any way itoshe kusema ivyo
M manopter2010 Member Joined May 16, 2013 Posts 92 Reaction score 17 Oct 7, 2016 #3 dah shda kwa kweli
S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,385 Reaction score 2,847 Oct 7, 2016 #4 nimeend kwenye profile yake ya fb nimekuta watu wamembandikia mapicha yake...watu hawapendi ujinga eti..ha ha ha
nimeend kwenye profile yake ya fb nimekuta watu wamembandikia mapicha yake...watu hawapendi ujinga eti..ha ha ha
Athy Sal JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 507 Reaction score 339 Oct 7, 2016 #5 Oh my God! This shows how difficult English language is, especially to most Tanzanian students..! Hapo kweli IFM imepatwa.. Nawaza tu lakini..
Oh my God! This shows how difficult English language is, especially to most Tanzanian students..! Hapo kweli IFM imepatwa.. Nawaza tu lakini..
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Oct 7, 2016 #6 jang said: Huyu ni mmoja kati ya mwanazuoni mtarajiwa wa IFM View attachment 413602 Click to expand... jipu hil achunguzwe vizur kama kwel ana vigezo huyu
jang said: Huyu ni mmoja kati ya mwanazuoni mtarajiwa wa IFM View attachment 413602 Click to expand... jipu hil achunguzwe vizur kama kwel ana vigezo huyu
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,666 Reaction score 6,742 Oct 7, 2016 #7 Kwa IFM ni sawa tu! vipanga wote wa nchi hii wanajulikana wanasoma wapi
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,443 Oct 7, 2016 #9 Tuna uhakika gani kama ni kweli kachaguliwa hapo? Mara nyingi tu tunaona msichana kaandika anasoma Feza Boys,au mtu kaandika anasoma BVM MUHAS
Tuna uhakika gani kama ni kweli kachaguliwa hapo? Mara nyingi tu tunaona msichana kaandika anasoma Feza Boys,au mtu kaandika anasoma BVM MUHAS
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,963 Reaction score 2,383 Oct 7, 2016 #10 Afriboy Sal said: Oh my God! This shows how difficult English language is, especially to most Tanzanian students..! Hapo kweli IFM imepatwa.. Nawaza tu lakini.. Click to expand... not only a problem to tanzanian students.. even tanzanian mkulu
Afriboy Sal said: Oh my God! This shows how difficult English language is, especially to most Tanzanian students..! Hapo kweli IFM imepatwa.. Nawaza tu lakini.. Click to expand... not only a problem to tanzanian students.. even tanzanian mkulu
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Oct 7, 2016 #11 IFM University?
mizarb JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,402 Reaction score 1,290 Oct 7, 2016 #12 Haya ndo matokeo ya ile BRN, hata hivyo shule zetu nyingi za serikali, hususani za kata, zipo nyuma sana kwenye suala la hii lugha ya kigeni.
Haya ndo matokeo ya ile BRN, hata hivyo shule zetu nyingi za serikali, hususani za kata, zipo nyuma sana kwenye suala la hii lugha ya kigeni.
M mamanzara JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 651 Reaction score 196 Oct 7, 2016 #13 Mwanachuo mtarajiwa wa mwendo kasi. Sijui anaendasoma kozi gani huko ifm.
KIDUDU JF-Expert Member Joined Sep 17, 2012 Posts 2,557 Reaction score 1,927 Oct 7, 2016 #14 Afriboy Sal said: Oh my God! This shows how difficult English language is, especially to most Tanzanian students..! Hapo kweli IFM imepatwa.. Nawaza tu lakini.. Click to expand... Ndiyo maana nilidaiwa TOEFLS na vingine sijui ISLETS nikafanye pale British Embassy kipindi flan ni kwa sababu hii, Ee Mungu uturehemu
Afriboy Sal said: Oh my God! This shows how difficult English language is, especially to most Tanzanian students..! Hapo kweli IFM imepatwa.. Nawaza tu lakini.. Click to expand... Ndiyo maana nilidaiwa TOEFLS na vingine sijui ISLETS nikafanye pale British Embassy kipindi flan ni kwa sababu hii, Ee Mungu uturehemu
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Oct 7, 2016 #15 Hatari sana!
lil wayne JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 992 Reaction score 905 Oct 7, 2016 #16 Kuna jamaa anaongea kimombo kitamu sana plus kichwani zipo lakini kakosa chuo.... Dah! Kweli Duniani ni kamali, ukilamba Jokeli bahati yako..
Kuna jamaa anaongea kimombo kitamu sana plus kichwani zipo lakini kakosa chuo.... Dah! Kweli Duniani ni kamali, ukilamba Jokeli bahati yako..
Mchumi90 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,102 Reaction score 1,331 Oct 7, 2016 #17 Mboga ya malecture hiyo
KIDUDU JF-Expert Member Joined Sep 17, 2012 Posts 2,557 Reaction score 1,927 Oct 7, 2016 #18 mizarb said: Haya ndo matokeo ya ile BRN, hata hivyo shule zetu nyingi za serikali, hususani za kata, zipo nyuma sana kwenye suala la hii lugha ya kigeni. Click to expand... Uzuri ni wa Musoma. Wakurya mupooo?
mizarb said: Haya ndo matokeo ya ile BRN, hata hivyo shule zetu nyingi za serikali, hususani za kata, zipo nyuma sana kwenye suala la hii lugha ya kigeni. Click to expand... Uzuri ni wa Musoma. Wakurya mupooo?
jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,189 Oct 7, 2016 Thread starter #19 mamanzara said: Mwanachuo mtarajiwa wa mwendo kasi. Sijui anaendasoma kozi gani huko ifm. Click to expand... Hahaha huyo atakuwa computer science
mamanzara said: Mwanachuo mtarajiwa wa mwendo kasi. Sijui anaendasoma kozi gani huko ifm. Click to expand... Hahaha huyo atakuwa computer science
donbeny JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,612 Reaction score 3,242 Oct 7, 2016 #20 Huyu ameshadisco kabla hajaanza!!!!