kabwekasoma
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 260
- 153
Wadau hii imekaaaje mpaka vyuo vya serikali vinafunguliwa hawaja release majina ya wanafuzi waliopata mikopo? Maanake hii haijawahi kutokea au ndo kusema hawana hela nini? Daah bodi ya mikopo kuna haja ya kuireform na kuinganisha na Tcu kwani wao wanaanza kufungua mapema lakini wanachelewa kutoa maombi