S Strong ladg JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 1,161 Reaction score 2,737 Jul 4, 2026 #1 Wakuu, nina tatizo la kupata verification code kutoka Apple, vipi kwa waliokumbana na changamoto hii wamefanyaje? Nimekwama .
Wakuu, nina tatizo la kupata verification code kutoka Apple, vipi kwa waliokumbana na changamoto hii wamefanyaje? Nimekwama .
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 2,381 Reaction score 8,560 Jul 4, 2026 #2 Unasimu ulio login au ndio unaanza kujisajiri?
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 10,295 Reaction score 15,049 Jul 4, 2026 #3 1. Kwanza inatakiwa namba ya simu uliyosajilia ICloud uwe nayo 2. Kama haijaja try another way lakini itakuuliza number gani mara nyingi wanaweka namba mbili za mwisho kwenye namba yako utaruhusu send itakuja verification code
1. Kwanza inatakiwa namba ya simu uliyosajilia ICloud uwe nayo 2. Kama haijaja try another way lakini itakuuliza number gani mara nyingi wanaweka namba mbili za mwisho kwenye namba yako utaruhusu send itakuja verification code