Kupata supersports free!

Kupata supersports free!

Dah,jamani mnapochangia angalieni afya za watu: kama mtoa mada ana BP, ni dhahiri hali itakua mbaya sana.
 
Umeona eeh? Unadhani mtu wa namna ile ni 'thinker'? Yule ni 'sinker'. Badala ya yeye kutoa majibu, anamtukana mleta mada, kitu ambacho ni kinyume na dhamira na maono ya Great Thinkers wa JF.

Wewe ndo 'sinker' mkubwa jamaa hana aibu anataka huduma bure (wakati anajua dstv lazima ulipie ili huduma iendelee kuwepo) halafu anaweka namba yake ya simu?? We must find someone to put "sense" in his head, hence the advice . Lakini kilaza kama wewe uwezi kuelewa hata kidogo.
 
Umeona eeh? Unadhani mtu wa namna ile ni 'thinker'? Yule ni 'sinker'. Badala ya yeye kutoa majibu, anamtukana mleta mada, kitu ambacho ni kinyume na dhamira na maono ya Great Thinkers wa JF.

Hizo tunaita ni akili za kustua kama gari bovu......... Actually he deserve to be posted in the line of immaturity level. We need to convince MODS to create room for immature thinkers.
 
Hivi kwenye ulimwengu huu wa capitalism bado kuna watanzania wanaoamini vitu vya bure!?
 
Still utatumia tu rasilimali mkuu na ndo maana mkishapata maujanja mnawauzia wengine

Neno FREE katika huduma lazima ulichukulia kama kutomlipa OWNER wa huduma bali kulipia vitu kwa third party...mfano FREE internet ya Tigo maana yake hauwalipi Tigo wenyewe labda unalipia VPN acc ya PD proxy au TG ili upate huduma...nafikiri ndo maana ya hii Notion Free ktk hili jukwaa
 
Back
Top Bottom