MBWAGA II
Member
- Aug 1, 2015
- 14
- 5
Habari za Ijumaa wakuu,
Naomba kufahamishwa namna ya kupata online test inayoitwa "Logic Assessment and Psychometric Test".
Kwa gharama ya chini zaidi au ikiwezekana iwe free,maana nimejaribu kuangalia baadhi ya links gharama zake ni kubwa kwangu kwa sasa ni usd 50-80.Nahitaji kuifanya hiyo test As Soon As Possible wakuu,tatizo ni hizo gharama.
Nafahamu hapa JF kuna wazoefu na wajuzi wa mambo mbalimbali.Tafadhali,mchango wako wa mawazo au kuweka hiyo link ni muhimu sana.Natanguliza shukrani.
Mbwaga II