Tuache kupiga picha za utupu na video za ngono. Yaani naona mkuu unataka picha tu simu hautaki tena?
Usiwe na mawazo potofu, huenda ni picha za kawaida tu lakini za muhimu kwake. Nilishawahi kupoteza picha nyingi sana za mwanangu akiwa mdogo, ziliniuma sana zile picha; kuuanzia hapo nikawa nainstall Dropbox kwenye kila simu nayotumia. Btw, Mkuu kazy, fanya kama alivyokuelekeza bs0d. Hata hivyo kama umeifunga itakuwa ngumu kuipata kwa sababu hataweza kuiwasha na kuiweka online! Ungekuwa uliweka app ya Prey au Seekdroid ingekuwa rahisi zaidi kwani ungeweza kumtumia sms mwizi wako na kumwona kwenye ramani yuko wapi. Njia ambayo ni rahisi zaidi nenda Polisi kitengo cha Cyber Security wapatie IMEI yako (kama hauna imei waambie namba uliyokuwa unatumia wao watawasiliana na mtandao wako kupata IMEI), kwa kutumia IMEI hiyo wataangalia kwenye mitandao yote kuona ni nani anatumia hiyo siimu, hata kama atakuwa "ameiclean", IMEI ndiyo msema kweli labda afanye IMEI swapping kitu ambacho si rahisi sana kwa kibaka tu wa mtaani.
Mwenzio anataka picha ww unaleta mbwembwe za iMei. Kibaka akiiuza hiyo ndo basi tena hakuna cha unlock. Inashughulikiwa kwenye Odin faster. Hata uende cybercrime ya samsung huipati ng'o.
Mkuu, CYBERTEQ hapa tunapeana changamoto tu. Picha tunaweza kuhifadhi ktk sehemu mbalimbali mfano katika e mail, mitandao ya kijamii na kadharika ila sasa siku hozi kuna watu (sio mleta uzi) wameaanza kua natabiaa ya kuhifadhi picha zao za faragha hivyo inakua hatari hivyo vyombo hivyo vikipotea.Usiwe na mawazo potofu, huenda ni picha za kawaida tu lakini za muhimu kwake. Nilishawahi kupoteza picha nyingi sana za mwanangu akiwa mdogo, ziliniuma sana zile picha; kuuanzia hapo nikawa nainstall Dropbox kwenye kila simu nayotumia. Btw, Mkuu kazy, fanya kama alivyokuelekeza bs0d. Hata hivyo kama umeifunga itakuwa ngumu kuipata kwa sababu hataweza kuiwasha na kuiweka online! Ungekuwa uliweka app ya Prey au Seekdroid ingekuwa rahisi zaidi kwani ungeweza kumtumia sms mwizi wako na kumwona kwenye ramani yuko wapi. Njia ambayo ni rahisi zaidi nenda Polisi kitengo cha Cyber Security wapatie IMEI yako (kama hauna imei waambie namba uliyokuwa unatumia wao watawasiliana na mtandao wako kupata IMEI), kwa kutumia IMEI hiyo wataangalia kwenye mitandao yote kuona ni nani anatumia hiyo siimu, hata kama atakuwa "ameiclean", IMEI ndiyo msema kweli labda afanye IMEI swapping kitu ambacho si rahisi sana kwa kibaka tu wa mtaani.
Mkuu, CYBERTEQ hapa tunapeana changamoto tu. Picha tunaweza kuhifadhi ktk sehemu mbalimbali mfano katika e mail, mitandao ya kijamii na kadharika ila sasa siku hozi kuna watu (sio mleta uzi) wameaanza kua natabiaa ya kuhifadhi picha zao za faragha hivyo inakua hatari hivyo vyombo hivyo vikipotea.
toka mwanzo kutrack ilikuw inanisumbua ila nilkuwa naweza kulok na kfanya ilie alarm,na kuweka ujumbe kwenye screenPole sana kiongozi, ngoja tusubiri wataalam wasaidie...
Kwani umeshindwa kui-track kwa AVG??
nimeshajaribu sana mkuu lakini kutrack hiyo simu toka mwanzo ilikuwa inanisumbua,nimewezakuilock tu na kuweka ujumbe kwenye screen,ila sasa hivi cha muhimu zaidi ni picha zilizomo kama kuna uwezo nikazipata hata nikiwa mbali na simukama ume register + na ku activate Lock naTracking ya AVG
then
jaribu ku login hapa :
Antivirus for Android | AVG Mobilation
lakini it depends on phone being on...
nilikuwa natumia everf note hope inafanya kazi sawa na google keepPole kaka
lakin siku nyingine jifunze kutumia
google keep
kwa nini mimi mandingo!!!Kwanini ulipiga picha za utupu?
Nitawapa global na Rahatupu waturutupishe. Nitazuga ni zangu.