Kupata mwanamke bikra sio kila kitu

family yake ,yeye ,mama yake wananipenda kweli yaani ila naona aibu sana ni story ndefu sometimes nadhani ndo maana siolewi nadhani jamaa kanilaani vile
Tafuteni nanyi mtapata, ombeni nanyi mtapewa.
 
Bikira ni utukufu kwa Mungu. Mengine ni mbwembwe tu.
 
Utoaye bikira ndiye mke wako halali katika mwili na Roho hii ni Kwa waamimi BIBILIA.NDIYO MAANA Mungu aliwaaambia waoe bikira siyo issue ya kuch
eat.cheating is a spirit of somebody
Wape neno, mtumishi.
 
family yake ,yeye ,mama yake wananipenda kweli yaani ila naona aibu sana ni story ndefu sometimes nadhani ndo maana siolewi nadhani jamaa kanilaani vile
njoo kwangu nikuoe umepata bahati sasa
 
They can be fed up with you, but not with your money.
 
Bikra sio dili kwanza ni wasumbufu sana.
 
ni bora kuoa bikra kuliko beseni hata akitoka nje ya ndoa sio mbaya maana tayari ushafunga agano na yeye, lkn beseni ashafunga agano na aliyemtoa bikra. Ukioa mwanamke ambaye hana bikra jua umeoa mke wa mtu.
 
Mwanamke bikra ana hadhi yake,mimi nina uhakika kabisa ingekua kuna alama kua huyu ni bikra na huyu alishatumika,wanaume tuwe tunachagua,hakika bikra wangeolewa sana,hawa used washukuru hii kitu inaitwa bikra ni siri kumjua mtu,na wengine tunawabikiri tukiwa bado hatujajiandàa kuoa,laiti nipate bikra saa hizi,natangaza ndoa.Kama kucheat aanzie akiwa kwangu nasio mtu alishatumika,namba ya wanaume waliopita unabaki unahisi tu kua labda ni kumi au mia,mwanamke wa hivyo unamuoa tu ili kupata watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…