Kupata maumivu wakati wa kukojoa

Kupata maumivu wakati wa kukojoa

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,802
Reaction score
49,109
habari wana jf!!! natumaini ni wazima wa afya.

nina ndugu yangu akikojoa mwishoni mwa mkojo unauma sana na wakati mwingine anatoa damu kidogo... ila hapati maumivu ya tumbo wala homa.

ameenda kwa hospital hakuna UTI wala infection yeyote . naombeni ushauri na msaada wenu....

cc:-MziziMkavu.,utafiti utafiti,Mr Rocky, watu8 na wengine wote msaada wenu naomba
 
habari wana jf!!! natumaini ni wazima wa afya..

nina ndugu yangu akikojoa mwishoni mwa mkojo unauma sana na wakati mwingine anatoa damu kidogo... ila hapati maumivu ya tumbo wala homa ...

ameenda kwa hospital hakuna UTI wala infection yeyote . naombeni ushauri na msaada wenu....

cc:-MziziMkavu.,https://www.jamiiforums.com/member.php?u=157706 utafiti,Mr Rocky, watu8 na wengine wote msaada wenu naomba

Tatizo alikuwa anapiga nyeto kwa kukazimisha mwambie stop killibg your self.
 
Tatizo alikuwa anapiga nyeto kwa kukazimisha mwambie stop killibg your self.
mama wewe sidhani kama kafanya hivyo ngoja nimwambie....lakini sehemu ya nyeto na kikojoleo si nyingine?
 
Hiyo ni dalili ya ugonjwa wa prostate anlargement(tezi dume)ndugu!.mara nyingi huanza hivyo matokeo yake hupelekea mkojo kubana na kushindwa kutoka.Mimi huwa natibu matatizo hayo kwa dawa za asili!ni dawa nzuri sana zinatibu matatzo mengisana.iwe mkojo unatoka kidogokidogo,mfululizo au hautoki kabisa utapona hata kama mgonjwa alishawekewa catheter(mpira wa kutolea mkojo)atapona.Kama bado unahangaika kaka naomba unitafute.0759217720
 
habari wana jf!!! natumaini ni wazima wa afya..

nina ndugu yangu akikojoa mwishoni mwa mkojo unauma sana na wakati mwingine anatoa damu kidogo... ila hapati maumivu ya tumbo wala homa ...

ameenda kwa hospital hakuna UTI wala infection yeyote . naombeni ushauri na msaada wenu....

cc:-MziziMkavu., utafiti,Mr Rocky, watu8 na wengine wote msaada wenu naomba
MTU MWENYE

KUKOJOA DAMU NA USAHA {KASWENDE} hii inatokana na matatizo katika njia za

mkojo na kuzua vijidudu (Bacteria) hivyo kuleta


madhara katika figo na kibofu cha Mkojo ukiona dalili hizo TAFUTA kabichi na mbegu

za TIKITIMAJI twanga chemsha
unywe kwa siku 7 glasi 1 kutwa mara 2


 

Attachments

  • mbegu za tikiti maji.jpg
    mbegu za tikiti maji.jpg
    27.5 KB · Views: 331
  • kabichi.jpg
    kabichi.jpg
    8.7 KB · Views: 358
MTU MWENYE

KUKOJOA DAMU NA USAHA {KASWENDE} hii inatokana na matatizo katika njia za

mkojo na kuzua vijidudu (Bacteria) hivyo kuleta


madhara katika figo na kibofu cha Mkojo ukiona dalili hizo TAFUTA kabichi na mbegu

za TIKITIMAJI twanga chemsha
unywe kwa siku 7 glasi 1 kutwa mara 2


asante sana MziziMkavu be blessed nitamwambia afany hivyo
 
Back
Top Bottom