Kupata likes nyingi kwa siku.

Kupata likes nyingi kwa siku.

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,599
Reaction score
437
Wana JF HIVI UNAWEZA KUPATA LIKES NGAPI KWA SIKU/ KUNA REKODI YOYOTE ILISHAWAHI WEKWA?
 
Aiseee watu mna mawazo enheeeee!!!!! Hebu anza huo utafiti tuje tuone mi napata 4 kwa mwezi kila week moja
 
Kwa kweli nimefurahi natumaini ntafunga mwaka vizuri NIMEPATA LIKES (40) kwa siku moja - tarehe

15/12/2013
najipongeza kwa kuweza kutoa mchango wangu wa mawazo.

Je kuna rekodi ya mtu nimevunja ama nimeweka???????
 
teh teh teh! like 40 tu kwa siku afu unaongelea kuvunja record?
mkubwa kuna watu wanapiga mpaka likes 150/per day.
 
Ant yako niko na kamchina sijui hata sasa nina like ngapi. hembu nichotee profile langu nilione hapa.
 
Wana JF HIVI UNAWEZA KUPATA LIKES NGAPI KWA SIKU/ KUNA REKODI YOYOTE ILISHAWAHI WEKWA?

mkuu lazima uwe unatoa nawe ndipo utapewa, hii ni kwa msaada wa ofisi (maneno) ya jk. ila wewe uwiano wako umebalansi vizuri
 
Ila nawe usiwe mvivu WA kuzitoa hizo laiki.
Nalog off
 
Back
Top Bottom