WanaJamiiForums Habari zenu,
Nimenunua Pikipiki Mpya kwenye kampuni Fulani Tangia mwezi wa Tatu Hadi kufikia muda huu sijapata plate number na Kadi nikiwapigia wananiambia Chassis yangu Haionekani kwenye Mfumo wa TRA,
Naombeni Msaada wa Kisheria nn nifanye? maana pia Barabarani Traffic wananisumbua lakini pia inanijima umiliki halali wa Chombo changu.