Kupaniki

Ukitaka kuondoa hasira jifunze kutabasam
Ni dawa tosha ya kuondoa hasira zako mwenyewe ukipenda bora ucheke kabisaaa
 
kama nakufahamu hv!!, we kwa sasa haupo moro kweli?
 
je na yeye anakupenda au anahisia kama ulizo nazo? kama ndio vunja ukimya...

moyo wa mtu kichaka.. i don't knw if he feels the same ila nachofaham is anajua what i really feel for him ila i cant force ku get back to him..
 
Ooh!!!

Basi chapa lapa endelea na mambo zako usiumize kichwa...btw mapenzi yapo tu na watu wapo tu!!!

that is what i 've done mkuu... life is too short to be complicated.! am doing great sanaaa na life goes on
 
Umeenda hospitali? Hormone imbalances huwa ni tatizo linaloweza kukusababishia hilo tatizo pia.
 
Hilo tatzo hata wangu analo kitu kidogo tu anapanic mpaka unmuonea huruma
 
Kuna kitu kinaitwa "low self-esteem" . Usiombe ukawa na hii kitu. Bila kupata psychotherapy hauji kuishiwa hasira na kupanic ovyo. Waone wana saikolojia wakusaidie jinsi ya kufanya anger management.
 
dawa ya moto ni moto, zidisha kupaniki na tatizo lako litakwisha kabisa teh! twehe! teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…