Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
Tuko wangu hata Mimi pia. Lakini Mimi huwa Niko hivi kama MTU akiwa anadanganya especially kwenye mahusiano . Hebu tusubiri tutasaidiwaje na wengine. Pole sana. Asante.
mkuu uwe unasaga mirungi ukiwa unasaga hii kitu unatulia na unakuwa hupendi fujo ukiona mtu anakuzingua unaondoka zako hii ndio faida mojawapo ya mirungi
hujasema kupanik kwenye nn labda haswa? mahusiano au every whr? anyway hilo ni pepo kaombewe
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
Huna tatizo la kupaniki bali una tatizo la KuTOKUJIAMINI. Njoo pm
Ukiolewa zitapungua hasira zako na ukizaa zitaondoka kabisa
Kama una mume basi mgande awe anakupiga miti kisawasawa...hiyo ni moja ya tiba asilia!!!
Sali halafu ukipatwa na hali hiyo hesabu hadi 10, rudia rudia kuhesabu utatulia tu, it's all in your head