Kupanda kwa pressure kunapelekea mgonjwa kupoteza uoni wa macho?

Una madini ya maana kama haya halafu unajitoa ufahamu kukumbaitia chademachama cha mbowe unajidharirisha

Haujasoma report ya twaweza?

CCM inapendwa na masikini .
CCM inapendwa na watu wasiojielewa.
CCM inapendwa na wasio na elimu(vilaza).
CCM inapendwa na wazee(mababu na mabibi).
 
Habari wakuu!Mpaka sasa mgonjwa wangu bado hajaweza kuona.
Imebainika ni pressure ya macho na bado anaendelea na matibabu.
Ushauri tafadhali juu ya hospitali nzuri ya macho na hata watalaalamu wa mitishamba.
 
Back
Top Bottom