Kupanda kwa pressure kunapelekea mgonjwa kupoteza uoni wa macho?

KING KIGODA

JF-Expert Member
Dec 28, 2018
3,756
2,998
Mke wangu alikuwa anasumbuliwa na U.T.I na Typhoid. Akiwa kwenye matibabu pressure imepanda na kupoteza uoni kabisa.

Nini nifanye kumrudisha katika hali yake ya kawaida?
 
Presha ya kawaida pia ina uwezo wa kuondoa uwezo wa kuona?

High blood pressure can damage the tiny, delicate blood vessels that supply blood to your eyes, causing: Damage to your retina (retinopathy). Damage to the light-sensitive tissue at the back of your eye (retina) can lead to bleeding in the eye, blurred vision and complete loss of vision.
 
Una madini ya maana kama haya halafu unajitoa ufahamu kukumbaitia chademachama cha mbowe unajidharirisha
 
High blood pressure can damage the tiny, delicate blood vessels that supply blood to your eyes, causing: Damage to your retina (retinopathy). Damage to the light-sensitive tissue at the back of your eye (retina) can lead to bleeding in the eye, blurred vision and complete loss of vision.
Karibu sana lumumba, we ni wamuhimu sana, njoo tuijenge nchi
 
Presha ikipanda inaweza kusababisha kupoteza uwezo wa kuona ,ila inakuwa ni kwa muda .Presha ikirudi normal uwezo wa kuona hurudi kawaida.

Hivyo ni kushughulika na kuishusha presha , ikiwa normal uwezo wa kuona utarudi. Presha ya macho ndiyo huwa inasabaisha upofu ila hypertension kupoteza uwezo wa kuona huwa ni la kwa muda , ikirudi normal uwezo wa kuona unarudi
 
High blood pressure can damage the tiny, delicate blood vessels that supply blood to your eyes, causing: Damage to your retina (retinopathy). Damage to the light-sensitive tissue at the back of your eye (retina) can lead to bleeding in the eye, blurred vision and complete loss of vision.
Shukrani rafiki ambae tuna jambo letu!😄😄😄
 
Presha ikipanda inaweza kusababisha kupoteza uwezo wa kuona ,ila inakuwa ni kwa muda .Presha ikirudi normal uwezo wa kuona hurudi kawaida.Hivyo ni kushughulika na kuishusha presha , ikiwa normal uwezo wa kuona utarudi. Presha ya macho ndiyo huwa inasabaisha upofu ila hypertension kupoteza uwezo wa kuona huwa ni la kwa muda , ikirudi normal uwezo wa kuona unarudi
Shukrani.
 
kuna kipindi muda wa usiku na hutokea nikistuka usiku nakutana na macho yanawasha na kama hayaoni vizuri na nashindwa kulala lakini nikiamka nikanywa maji mengi na kukaa muda mrefu hiyo hali hutoweka hii inaweza kuwa nini?
 
Mke wangu alikuwa anasumbuliwa na U.T.I na Typhoid. Akiwa kwenye matibabu pressure imepanda na kupoteza uoni kabisa.

Nini nifanye kumrudisha katika hali yake ya kawaida?
Mkuu Mke wako atakuwa bado hajapona hayo maradhi ake uliyoyasema ingawa anatumia dawa za hospitali. Mpeleke Hospitali akapimwe huenda anayo Preshaya macho aka glaucoma ndio inayo msababisha asipate kuona. Mtibie Huko Hospitali asipo pona nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mke wako auguwe pole.

CATARACT GLAUCOMA HEALTH EYE.jpg
 
Mkuu Mke wako atakuwa bado hajapona hayo maradhi ake uliyoyasema ingawa anatumia dawa za hospitali. Mpeleke Hospitali akapimwe huenda anayo Preshaya macho aka glaucoma ndio inayo msababisha asipate kuona. Mtibie Huko Hospitali asipo pona nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mke wako auguw pole.

View attachment 1815595
Asante mkuu.Lakini tatizo hili is pressure amekuwa nalo ni muda mrefu sasa japo si kwa kiwango hiki cha sasa.Acha nifuate ushauri wako kwanza tuone.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom