J Jorgeny Trevoh New Member Joined Apr 25, 2026 Posts 1 Reaction score 0 Jun 19, 2026 #1 Habari jamii forums Kuna changamoto ya kupanda kwa mbolea húsusan hizi za ruzuku na wakulima hatujapata taarifa yoyote. Je, serikali imeondoa ruzuku katika mbolea za ruzuku bila kutoa taarifa kwa wakulima? Mfano mbolea Kama SA mwanzo ilikuwa 54,000 na sasa inauzwa 61,000. Pia soma ~ TFRA: Tumekamata Wafanyabiashara kwa kuuza mbolea kinyume na maelekezo ya Serikali
Habari jamii forums Kuna changamoto ya kupanda kwa mbolea húsusan hizi za ruzuku na wakulima hatujapata taarifa yoyote. Je, serikali imeondoa ruzuku katika mbolea za ruzuku bila kutoa taarifa kwa wakulima? Mfano mbolea Kama SA mwanzo ilikuwa 54,000 na sasa inauzwa 61,000. Pia soma ~ TFRA: Tumekamata Wafanyabiashara kwa kuuza mbolea kinyume na maelekezo ya Serikali
N Nodus JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 391 Reaction score 1,057 Jun 19, 2026 #2 Mbolea (Fertilizer) ni byproduct ya Petroleum refinery. Mafuta yakipanda bei duniani na mbolea lazima ipande
Mbolea (Fertilizer) ni byproduct ya Petroleum refinery. Mafuta yakipanda bei duniani na mbolea lazima ipande
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,701 Reaction score 2,223 Jun 23, 2026 #3 CAN 90000
Warld JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 2,141 Reaction score 5,552 Jun 26, 2026 #4 Kwenye mbolea ya SA na CAN hazina ruzuku tena. Mbolea zenye ruzuku ni DAP, NPS, TSP, UREA , FOMI OTESHA, YARA OTESHA.
Kwenye mbolea ya SA na CAN hazina ruzuku tena. Mbolea zenye ruzuku ni DAP, NPS, TSP, UREA , FOMI OTESHA, YARA OTESHA.