Kupanda cheo sababu ya...

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,460
Jambo JF?

Chukulia wewe ni mtumishi katika taasisi moja kubwa, uliajiriwa ukiwa na diploma miaka kadhaa iliyopita but ukajiendeleza kielimu ila ukasoma kitu kingine nje ya taaluma ile uliyoajiriwa nayo mpaka ukafikia kiwango cha kuwa na masters. Kwa minajili hiyo ofisi iligoma kutambua vyeti vyako pamoja na kwamba uliandika barua mara kadhaa kuomba kufanyiwa 'recategorization' bila mafanikio.

Siku moja mligongana na bosi wako maeneo ya starehe wewe ukiwa na maswahiba wako wake kwa waume, bosi wako akakaa nanyi kwa muda then akaondoka.

Kesho yake bosi alikuita ofisini kwake na kuanza kukudadisi juu ya mmoja wa wasichana ambaye aliwakuta nae kwenye starehe hapo jana hivyo akasema wazi kwamba nafsi yake imemdondokea (kampenda). Kwa kuwa binti mwenyewe ni mtoto wa mjini ulipoongea nae binti akakubali kwa sharti la mkwanja mbele kitu ambacho bosi alikubali na wakaridhiana.

Ukiwa huna hili wala lile, baada ya wiki kadhaa ukapokea barua ya kukubaliwa kwa elimu yako, ukapanda na cheo kuhamishiwa kwenye position inayofit elimu yako ya masters ambapo awali jambo hilo lilikataliwa kabisa kabisa.

Je, hapo utasema umepanda cheo kwa vyeti vyako au sababu ya mbunye??

Je, utajisikiaje kutoka moyoni kwamba ukuwadi ndiyo uliofanikisha maisha yako??

Je, utakitumikia cheo hicho kwa moyo mmoja??
 
Maswali mengine labda ajibu Warioba walah.
 
bora advance waende shule tu aarggghhh!!!
 
yaani kumegwa amegwe mwingine we ukose raha kwa kazi ambayo una qualify?
 
Khaah! Hata wanafunzi wangu wa sandeskuli wanajibu haya!
 
Uuupsi mbona hujatoa reference book.
Somo gumu halieleweki
 
Kumekuchaaaa! Profession nyingi qualitatve ni very Political, usipojiongeza unastaafu karani kiutani utani hata u branch manager utausikia tu!

Profession zisizo nakubebana ni production na sales tu cause performance inapimika! Akibebwa mtu inajidhihirisha live!

Ila accounts sijui admin sijui management wote mna MBA, nani atapanda nani atangangania itategemea na juhudi za mtu binafsi kujiongeza!
 
Win Win system

Hata ungegoma kumuachia angemega na cheo usingepandishwa
 
kwakweli mimi nikipewa mamlaka ya kuajili vyeti litakuwa ni jambo la mwisho kabisa, yani huyu ni msomi wa masters level? tobaaaaaaaaaaaaaaa!
 
kwakweli mimi nikipewa mamlaka ya kuajili vyeti litakuwa ni jambo la mwisho kabisa, yani huyu ni msomi wa masters level? tobaaaaaaaaaaaaaaa!
mimi hata vyeti havitakuwepo walah
 
mbunye ya mwingine, vibaya ujiskie wewe!!? bado tunasafari kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…