GE2025 Kupambana na rushwa siyo kipaumbele cha Samia na Serikali yake ijayo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
Nimeshangaa kutosikia haya.
1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa.

2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe

3. Serikali kuhakikisha utawala wa sheria unaimarika. Kuhakikisha ulinzi na usalama kwa raia wote.

4. Sijasikia akitaja mradi wowote wa maana anaenda kutekeleza.

By the way this term.wanaenda kuchota hata kile kidogo kilichobaki. TAKUKURU imezikwa rasmi
 
Haya yakitekelezwa ndio ya msingi japo hii ahadi inaweza ikawa mzigo Kwa wengine

View: https://www.instagram.com/reel/DN57daVAvXO/?igsh=Y3ZudmVvZWdneW95
 
Kuna point mbona huisemi?
Kwamba maiti inayodaiwa hospitali haitazuiwa?.........tena
Kwamba kutakua na bima ya afya bure, haluuh.
Sijamuona Lucas Mwashambwa akiamza kububujikwa na machozi ya raha.
 
Nimeshangaa kutosikia haya.
1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa.

2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe

3. Serikali kuhakikisha utawala wa sheria unaimarika. Kuhakikisha ulinzi na usalama kwa raia wote.

4. Sijasikia akitaja mradi wowote wa maana anaenda kutekeleza.

By the way this term.wanaenda kuchota hata kile kidogo kilichobaki. TAKUKURU imezikwa rasmi
Screenshot_20250613-120827~2.png
 
Alishasema watu wale kwa urefu wa kamba , na akaongeza hizi Hela mnaiba hivi zitawafikisha ? Yaani fisadi unamwambia hivi unategemea nn?
 
Back
Top Bottom