Inakuwa ni zamu yako;
Kusali, kulinda usalama wa mnapoishi, kupanga mipango yako ambayo unakosa muda wa kuitafakari.
Kusoma kama ni mwanafunzi au unajisomea vitabu tuu n.k.
Ukifata mfumo wa kama sina njaa sili hata kama muda wa kula umefika, kama sina usingizi silali hata kama muda wa kulala umefika n.k. itakusaidia sana muda huo kufanya mambo mwngine endelevu.