Ni maji mkuu, salt water na fluorine kwa wingi ndio hupelekeaHivi ni asili au ni uzembe, ama ni vyakula ndo sababu?!
Yangu kila jino lina uazi na mswaki unaingia hayajabanana ivoHata mimi nayaona... umejaaliwa.
Kama hivi?Yangu kila jino lina uazi na mswaki unaingia hayajabanana ivo
[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] pole sana mkuuMm mwenyewe na jino lilipasuka nilikuwa napenda sana kutembea na toothpick mdomoni, nikawa nalichokonoa mpk likapauka, basi hapa navyoandika linauma hataree, siyo LA mbele lkn
Yangu kila jino lina uazi na mswaki unaingia hayajabanana ivo
Tatizo hili lina changiwa pia na mapenzi kwa njia ya mdomo imean wengi wenye matatizo ya dizani hii ni mabingwa wa kula koni,kuna bacteria huwaga wanabaki kwa meno toka kwa sperm wakiungana na wamabaki wa chakula ndo tatizo linapokuwa kubwa,Ushauri wangu ni vyema kuacha kula koni au kutumia Mouth wash baada ya show
Hapo unataka kuwachokoza wadada wa Arusha😀
Ahsante nashukuri ila unaweza kinipa msaada[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] pole sana mkuu
Ok,sawa mkuuMkuu angalia hio picha hapo juu, naam ndio namaanisha haya ya kuathirika namna hio.
Ndio Naweza nitakupa ukitaka ata usiwe na shakaAhsante nashukuri ila unaweza kinipa msaada
Unitafunie chakula na kunitemea mpk nitakapo pona, namba yangu, 075712**04Ndio Naweza nitakupa ukitaka ata usiwe na shaka