Kuota Unakula Nyama


hakuna mchawi anaeweza kumpelekea mtu nyama kwenye ndoto
 
Maisha magum hiv inakuaje wachaw wanapata nyama ya kulisha watu aisee
 
nimeota nakula nyama mapande ya nguvu,ila sijui hata ni nyama gani,nashtuka nakuta tumbo limejaa,i mean nimeshiba.

Ile imani ya kwamba ndoto za aina hii zinakuaga na uhalisia yaweza kuwa kweli? mana naskia hadi kichefu chefu....K@$?#!6E....

Umeona ukiwa unakula mwenyewe ?
Au unalishwa na Mtu au watu ?
Je ktk mazingira gani?
 

Napata ukakasi kidogo ktk hizo tafsiri za hizo ndoto !
Ndoto haziwezi kuwa na tafsiri za moja Kwa moja kiasi hicho!
Wakati mwingine Kama siyo mara nyingi ndoto tafsiri zake huwa ni kinyume na ndoto yenyewe!
Ktk tafsiri ya ndoto yoyote mambo ya kujiuliza ni kuwa ndoto hiyo imetokea ktk mazingira gani ikihusisha watu au vitu gani n.k
 
Nilichoona kingine hapa hata umeongezea na source zake sasa kwa nini watu tunapenda kutafsiri ndoto kinyume?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…