Kwa picha hii ndo naanza kumuamini mwalimu wangu wa primary kuwa Mihogo ina kiasi kikubwa cha Wanga, cheki huyo mdada alivyonawiri, bila shaka alikuwa mtumiaji mzur wa Kibandameno!

Aina flani ya mihogo. Mizuri mno kwa kupikwa na kukaangwa. Ipo mingine yaitwa Ponjoo, ukiitafuna mibichi jina lako tunalianza r.i.p. hio ni kwa ajili ya kuandaa makopa ya ugali tu!