Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,571
- 4,820
Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka