tumbili

Tumbili (pronounced [tumˈbiˈli]) is a steel roller coaster at Kings Dominion in Doswell, Virginia, United States. Announced in August 2021, the 4D Free Spin model is manufactured by S&S – Sansei Technologies and opened on March 12, 2022. It is located within Jungle X-Pedition, a newly-themed section of the park formerly known as Safari Village. The ride takes its name from the Swahili word for "monkey."

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tumbili na Ngedere - Ni wanyama tofauti!

    Tumbili na Ngedere mara nyingi huchukuliwa kama wanyama sawa, lakini kwa lugha ya kawaida ya Kiswahili, Ngedere (Vervet monkey) anajulikana kwa uso mweusi wenye manyoya meupe kando, huku Tumbili (kwa ujumla) akijumuisha aina mbalimbali za kima wenye rangi tofauti. Wote ni jamii ya kima...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kama Tumbili alishindwa Kutuelewa Basi Atamuelewa Professa Abel

    Kuna Kiongozi moja WA PPP ambaye aishi kuendeleza wimbo wa PPP kama ndio dawa ya matatizo yetu bila kuangalia tumetika wapi , tupo wapi na tunaenda wapi. Kama Prof anavyozungumzia.
  3. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Tumbili na Ngedere hapa Dar hasa Mbezi beach mpaka Ununio

    Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi. Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili

    Sasa hii nayo imetokea usiku wa kuamkia Februari 10, 2025 huko Sri Lanka ambapo wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili mmoja tu. Unaambiwa Tumbili huyo aliyeruka na kuingia kwenye mfumo wa gridi ya umeme alisababisha umeme kukatika karibu eneo...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kasema nyani/sokwe/tumbiri wanajifanya hazimo ili wasiitishwe kulipa kodi!

    Hii mijamaa ina akili sana duuh, ebu tazama
Back
Top Bottom