Habari za weekend wadau.
Kuna wazo limepita kwa halmashauri yangu ya kichwa. Hivi serikali ya Tanzania haioni kuna umuhimu wa kuweka kiwango cha kodi kwenye ndoa na harusi?
Coz nafikiri kama itafanywa hivyo tunaweza kuongeza kipato kwa asilimia fulani. Fikiria jumla ya mahali zote zinazotozwa kwa mwaka, ni kiasi gani serikali inheweza kuingiza pesa kwa kuweka kiasi cha kodi.
Na ikumbukwe kwamba kwenye kila kiasi cha mapato ambayo mtanzania anapata anastahili kulipa kodi. Au kupokea mahali sio mapato?
Ni mawazo tu jamani.