Kuongeza Nguvu za Kike

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
652
500
Siku zote naona tu kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume ila sijawahi ona dawa za kuongeza nguvu za kike.
Mwenye kujua zinakopatikana hizi dawa plse atupatie taarifa hapa jamvini nina uhakika zitaokoa ndoa za wengi kwani utafiti unaonyesha libido ndogo kwa wanawake ni chanzo cha men kuwa na nyumba ndogo.
 

Gerad2008

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
559
250
Akina dada na akina mama wataalam haswa wale wa Kitchen party tupatieni recipe hapa tunasubiri kwa hamu kubwa ili tuboreshe mambo shaa shaa
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
Kwanza inakupasa utambue ni nini maana ya "Nguvu za Kiume"... na nini maana ya "Upungufu wa Nguvu za Kiume". Laiti kama ungeliyatambua hayo sidhani kama ungelikuwa na haja ya kuanzisha hii thread...naona umechanganya habari ya Nguvu za Maumbile na Libido.
Siku zote naona tu kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume ila sijawahi ona dawa za kuongeza nguvu za kike.
 

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,262
2,000
Hakuna kitu kiitwacho 'nguvu ya kike' ila kuna hamu ya kike. Katika mahusiano ya ngono mahitaji ya mwanaume yanatofautiana na ya mwanamke. Mwanaume kwa mfano anahitaji nguvu za kiume, yaani nguvu ya kuwezesha kifaa chake kuwa kigumu kiweze kupenyeza mahali, na mwanamke anahitaji kupata msisimko na hamu ya kupokea hicho kifaa kutoka kwa mwanaume. Hiyo hamu ya kike si sahihi kuita 'nguvu ya kike' kwa mawazo yangu.
 
Top Bottom