Kuongeza mtandao kwenye simu

The Conscious

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
461
701
Habar wakuu,

Jamen simu yangu ya button inanisumbua san mda mwingi inaandika emergency iv kuna uwezekan wa kuiongezea mtandao kama nikiipeleka kwa fundi au kama kuna mdau ana ujuzi wa haya mambo tafadhal naomba anisaidie maelekezo.
 
Habar wakuu,
Jamen simu yangu ya button inanisumbua san mda mwingi inaandika emergency iv kuna uwezekan wa kuiongezea mtandao kama nikiipeleka kwa fundi au kama kuna mdau ana ujuz wa haya mamb tafadhal naomba anisaidie maelekezo
Unaishi eneo ambalo network ipo vizuri? Pengine antenna ina tatizo, fundi anaweza kusaidia.
 
Habar wakuu,
Jamen simu yangu ya button inanisumbua san mda mwingi inaandika emergency iv kuna uwezekan wa kuiongezea mtandao kama nikiipeleka kwa fundi au kama kuna mdau ana ujuz wa haya mamb tafadhal naomba anisaidie maelekezo
Angalia IMEI ya simu kama inafanana kwenye stika.
*#06# angalia na kwenye sticker ya simu yako. Toa battery utaiona
 
Back
Top Bottom