Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,717
- 1,472
.
Acha kuangalia pornographic material uwezo wa kuona uatrudi pake.
Mkuu mimi natakiwa kuvaa miwani all the time since inanisaidia na navaa wakati wote ni ngumu kung'amua hilo. Unadhani ukivaa miwani kipindi unafanya hzo kazi kutakuwa na tatizo la kiafya?kuna baadhi ya vitu/kazi hukosea kufanya kwa ufanisi kwa kushindwa kuona vizuri.......mkuu kwa kipindi hicho cha miaka 10 uwezo wako kuona unaongezeka au kupungua? Na umefanyia nini kuboresha uwezo huo
Well said fadhili tena akiongeza juis ya nanasi iliyochanganywa na karoti, embe na pia akawa anakula mchicha pamoja na hiyo kachumbari bila shaka ataona matokeo mazuri.Nilikuwa na tatizo kama lako miaka kama 7 iliyopita nilikuwa pia nimeshaanza kuvaa miwani nilipewa pale CCBRT Dsm, kilichonisaidia ni maji tu. Kila kitu mwilini ufanyaji kazi na ufanisi wake hutegemea na upatikanaji wa maji mwilini. Kwa hiyo nikaongeza kiasi cha maji nilichokuwa nakunywa nikawa nakunywa kila siku lita tatu na nusu katika nyakati tofauti tofauti siku nzima, nilikuwa nikitafuna pia chumvi ya mawe mara 2 au tatu kwa siku, nikaongeza salads walau mara 2 kwa siku ilikuwa lazima niandae salad, kwa wasiojuwa salad ni mchanganyiko wa vitu vibichi/kachumbari vifuatavyo:
1. Nyanya
2. Kitunguu maji
3. Karoti
4. Pilipili hoho
5. Tango
6. Lettuce
7. Ndimu(maji yake una kamulia kidogo)
8. Chumvi n.k
Mpaka sasa mi sisumbuliwi na macho tena na huwa nakaa katika komputer masaa mengi sana katika siku lakini hakuna jicho linalonisumbua.
NB: Nitakuandalia maelezo mengine ya kutosha kufafanua dhana hii kwanini maji yanapopunguwa mwilini macho pia huathiriwa, muda wowote nitaleta hayo maelezo hapa.
King'asti umenena vyema, but huyu mkuu anatakiwa ajue kwamba kwake yeye tatizo ni kubwa zaid. hivyo lazima ajitahidi sana kuikubali hiyo hali. akibadili saikolojia yake basi ataweza kuona hata hiyo miwani inamsaada kwake.Salads au kachumbari kula kwa wingi zaidi. Badala ya mboga za majani ambazo huwa overcooked kula kachumbari kila siku.
Tafuta pia mafuta ya samaki. Nilivaa miwani nikiwa high skuli, lakini nilisaidiwa na vidonge vya vitamin A (zilikuwa suppliments za gnld nadhani). Na hayo mafuta ya samaki (7seas wanayo mazuri flavoured na machungwa hayana harufu mbaya). Sasa sivai miwani kabisa.
habari wadau, mimi nina matatizo ya macho kitaalam very short sighted- high myopia keratucones kiasi cha kwamba siwezi kusoma au kuona fasaha bila msaada wa miwani yenye lenz nene....kwa kweli tatizo hili limeniathiri sana kisaikolojia hasa kujiamini, je kuna dawa/njia/vyakula/mbinu zozote naweza kufanya kuongeza uwezo wa kuona wa macho yangu, naomba michango yenu wadau natanguliza shukran
pole sana mkuu,nina tatizo kama lako na huu ni mwaka wa 10 navaa miwani ambayo mtu mwenye macho ambayo si mabovu hii miwani hakai nao hata sekunde 2 lakini unaposema kuwa unashindwa kujiamini sijakuelewa vizuri mkuu.
Mkuu ahsante kwa ushauri wako..najitahidi kufanya hayo kwa wingi lakini, tatizo hasa ni kuwa Iris moja ni ndogo kuliko nyingine na hata vioo vya miwani yangu vina nguvu tofauti.Poleni sana, ugonjwa sio laana, ni matatizo ya kimaumbile, kila mtu ni mlemavu au mgonjwa mtarajiwa.
Tiba:- tiba ya magonjwa mengi hasa ya aina hiyo sio hospital. Ni vyakula. Kuleni vyakula vya vitamini a zaidi. Suop ya mchicha na mchicha wenyewe usiive saana, spinach na other green vegetables. Samaki wa baharini and other see foods. Samaki aidha wa kuchoma au kuchemsha au kukaanga, wasiive saana. Tumieni kwa muda mrefu sana, iwe ni mazoea yenu kwa sababu ugonjwa wenu ni wa muda mrefu pia. Kuleni vitu hivyo mara tatu kwa siku ili kupata ufumbuzi wa haraka zaidi. Mwisho kabisa fanyeni mazoezi hasa ya kukimbia tu kila siku maana yake hufanya damu kuzunguka mwili mzima. Na msitumie miwani ila pale panapo dharura ya kufanya hivyo.
mkuu ahsante kwa ushauri wako..najitahidi kufanya hayo kwa wingi lakini, tatizo hasa ni kuwa iris moja ni ndogo kuliko nyingine na hata vioo vya miwani yangu vina nguvu tofauti.
habari wadau, mimi nina matatizo ya macho kitaalam very short sighted- high myopia keratucones kiasi cha kwamba siwezi kusoma au kuona fasaha bila msaada wa miwani yenye lenz nene....kwa kweli tatizo hili limeniathiri sana kisaikolojia hasa kujiamini, je kuna dawa/njia/vyakula/mbinu zozote naweza kufanya kuongeza uwezo wa kuona wa macho yangu, naomba michango yenu wadau natanguliza shukran