sibusiso dlomo
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 690
- 384
habari wandugu
naomba kuchangia jambo moja hili la kuongeza kodi hili kulinda uzalishaji wa ndani..katika economics esp Trade economics hili swala limeongelewa sana sana...na katika watu waliojaribu katika nchi nyingi mara nyingi uwashinda kutokana nakuwa na mipango mibovu
sijui kama nchi tumejiandaaje katika ku hakikisha hizi kodi tulizoziongeza zitasaidia uzalishaji wa ndani kukua
1) katika economics watu wengi waliamini kuwa uchumi wa ndani hautaweza kuwa controlled kwa importation tax(kama nchi tukishindwa ku produce at the quality level ya products za nje hakutawazuia watu kununua bidhaa za nje)
2) kwa maono yangu naamini kabisa hizi kodi ambazo zinawekwa katika bajeti hii 2016/2017 havitavisaidia viwanda vya ndani kama havitoboresha bidhaa zao
3)bei bidhaa zote zitapanda (bidhaa za ndani na bidhaa za nje) na hapo ndipo indifferential itakapotokea kwa bidhaa (bidhaa zina matumizi sawa lakini quality na extra advantage ndizo zitakazosababisha uuzwaji wa bidhaa)
4)serikali ikishindwa kuwasapoti kwa kuwapunguzia/kuondoa wazalishaji kodi ya kuingiza mitambo mipya basi ile dhana ya serikali ya viwanda itaishia kwenye makaratasi tu
naomba tusaidiane katika hili
1)hivi benki kuu,bodi za biashara na wizara ya fedha,uchumi zinakuwaga na mipango endelevu or kila akija Raisi mpya mipango mingi ubadilika?
2)wizara ya fedha na benki kuu nadhani ndio wenye maono mengi zaidi Raisi/serikali iliyopo madarakani kwa kipindi husika
a) hivi hujadili mipango ya raisi au raisi anatakiwa mipango yake iwe fiti na wizara ya fedha,uchumi