Sio watanzania! Wepesi wa kusahau, wajinga! (sio tusi)Kufuatia kuondolewa kwa baadhi ya posho za vikao ktk idara mbalimbali za sirikali kumezidi kuibomoa ccm kwani wafanyakazi wengi wanajutia kuichagua ccm na hivyo kuzidi kuibomoa ccm,hongera sana sirikali yetu maana 2020 upinzani tunajizolea kura ki ulaini
SSM?Safi. SSM itazikwa na wana ssm.
Dsm ndio kila kitu wacha tufaidi sisi Kwanza wawakikishi wenuPosho ya mazingira magumu wanalipwa mabosi ndani ya Dar es salaam wakati wauguzi wenzangu tulio huku kijijini Ng'washilalage Kwimba hatujawahi kusikia wala kuona hiyo posho! Bora ifutwe tu wote tuishi kama mashetani. Bites zangu hapa ni maboga na michembe wakati nyie mnatengewa 4 bil na point. Hata aibu hamuoni?
Ndio hapo sasa...hizi posho zimesababisha walaji kuingia kwenye siasaPosho ya mazingira magumu wanalipwa mabosi ndani ya Dar es salaam wakati wauguzi wenzangu tulio huku kijijini Ng'washilalage Kwimba hatujawahi kusikia wala kuona hiyo posho! Bora ifutwe tu wote tuishi kama mashetani. Bites zangu hapa ni maboga na michembe wakati nyie mnatengewa 4 bil na point. Hata aibu hamuoni?
Tutatumia mtindo waliotumia Liberia kwa kale kajamaa Samuel au BAGBO kule Ivory Coast kama tutakuwa tumeibuka kidedea wakakomalia mjengoni ndo dawa iliyobakiCCM Wataiba kura na hamtawafanya kitu.
Tatizo lipo tume ya uchaguzi na katiba.
Mbona posho ziko pale pale,,ila kwa vile vikao visivyokuwa na kichwa wala miguu vinavyo ripuka kama moto wa kifuu posho hamta ziona mtaendelea tuu kuisoma namba.Kufuatia kuondolewa kwa baadhi ya posho za vikao ktk idara mbalimbali za serikali kumezidi kuibomoa CCM kwani wafanyakazi wengi wanajutia kuichagua CCM na hivyo kuzidi kuibomoa CCM, hongera sana serikali yetu maana 2020 upinzani tunajizolea kura ki ulaini