celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,331
- 1,059
Kufuatia kuondolewa kwa baadhi ya posho za vikao ktk idara mbalimbali za serikali kumezidi kuibomoa CCM kwani wafanyakazi wengi wanajutia kuichagua CCM na hivyo kuzidi kuibomoa CCM, hongera sana serikali yetu maana 2020 upinzani tunajizolea kura ki ulaini
We jamaa wewe ni kanjanja,tena unasema alikuwepo wakati tamko linatolewa,ni sehemu ipi aliposema amefuta posho zote za vikao au watumishi wa umma,
Hii inadjihirisha kuwa hata jf makanjanja mpo,
Tafuta video yake rejea alichosema na RUDI upost upya humu