Kuondolewa kwa posho za vikao ni pigo jipya kwa CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,443
2,000
Kufuatia kuondolewa kwa baadhi ya posho za vikao ktk idara mbalimbali za serikali kumezidi kuibomoa CCM kwani wafanyakazi wengi wanajutia kuichagua CCM na hivyo kuzidi kuibomoa CCM, hongera sana serikali yetu maana 2020 upinzani tunajizolea kura ki ulaini
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,127
2,000
Posho ya mazingira magumu wanalipwa mabosi ndani ya Dar es salaam wakati wauguzi wenzangu tulio huku kijijini Ng'washilalage Kwimba hatujawahi kusikia wala kuona hiyo posho! Bora ifutwe tu wote tuishi kama mashetani. Bites zangu hapa ni maboga na michembe wakati nyie mnatengewa 4 bil na point. Hata aibu hamuoni?
 
Dsm ndio kila kitu wacha tufaidi sisi Kwanza wawakikishi wenu
 
Joycefull

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
773
500
bora posho za mazingira magumu Dar???huku bushigwamala;ng'ang'Engle,hatuzioni ila hii nchi inatakiwa uvumilivu sana
 
Ndahani

JF-Expert Member
Jun 3, 2008
16,801
2,000
Posho ya mazingira magumu wanalipwa mabosi ndani ya Dar es salaam wakati wauguzi wenzangu tulio huku kijijini Ng'washilalage Kwimba hatujawahi kusikia wala kuona hiyo posho! Bora ifutwe tu wote tuishi kama mashetani. Bites zangu hapa ni maboga na michembe wakati nyie mnatengewa 4 bil na point. Hata aibu hamuoni?
Ndio hapo sasa...hizi posho zimesababisha walaji kuingia kwenye siasa
 
yego chikaka

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
619
250
CCM Wataiba kura na hamtawafanya kitu.

Tatizo lipo tume ya uchaguzi na katiba.
Tutatumia mtindo waliotumia Liberia kwa kale kajamaa Samuel au BAGBO kule Ivory Coast kama tutakuwa tumeibuka kidedea wakakomalia mjengoni ndo dawa iliyobaki
 
Mahamud_2000

JF-Expert Member
Feb 8, 2014
201
225
Kufuatia kuondolewa kwa baadhi ya posho za vikao ktk idara mbalimbali za serikali kumezidi kuibomoa CCM kwani wafanyakazi wengi wanajutia kuichagua CCM na hivyo kuzidi kuibomoa CCM, hongera sana serikali yetu maana 2020 upinzani tunajizolea kura ki ulaini
Mbona posho ziko pale pale,,ila kwa vile vikao visivyokuwa na kichwa wala miguu vinavyo ripuka kama moto wa kifuu posho hamta ziona mtaendelea tuu kuisoma namba.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom