Enkorongo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 979
- 439
Umemsahau na lyatonga bora mkono uende kinywaniWaitara hana tofauti na Dovutwa, Cheyo na wengine wanaofanana na hao. Tumbo lake kwanza.
Umemsahau na lyatonga bora mkono uende kinywaniWaitara hana tofauti na Dovutwa, Cheyo na wengine wanaofanana na hao. Tumbo lake kwanza.
Kwakuwa kaahidiwa kanafasi ka kumuwezesha kupata ugali kila siku anasahau watanzania wenzake 40 million wanao shinda na njaaKila Mtu anayo Bei yake kama wewe ulivyo tiririka hapa ,ulivyo Mjinga unafurahia Kufa kwa Upinzani Nchi hii na kuukaribisha Rasmi Utawala wa Kifalme huku ukifikiri kuwa utakuwa Salama na haya kuhusu.
Ili mradi wanakula makomboHuyo ndio hawa walambao miguu na kujiona wajanja
View attachment 824165
Tatizo lake ni bongolalaWewe nawe ni bongolala hujui kucheza na siasa. Wenzako wanatengeneza fedha kwa kuhama wewe umebakia kutoa nyongo kwenye mitandao tu. Wenzako wanapokuwa kwenye upinzani huwa wanajitoa akili na kuikera serikali mpaka inaamua kufika bei ili kero zipungue. Wanahongwa vyeo na fedha ili warudi CCM au wanyamaze. Sasa wewe umebakia kutoa mishipa na hakuna unachpata. Hata mimi nadhani upinzani unaelekea kufa lakini ukifa ujue na wewe utakuwa huna hoja kwani hoja zako zote zimejikita kwenye kuishambulia Chadema.
Kidumu chama cha mapinduziMuache amuanike Mwenyekiti dikteta
Hata kina lizaboni walikuwa wanakesha humuMna jitahidi kuueneza Uongo kuwa Ukweli ,ongeza bidii Mkuu Jamaa huwa anapita humu huwenda akakuona.
Ndiyo kazi yake na kufua magamba yaoWewe unalamba viatu vya chakubanga mbona unawashwa saaaaaaaana na mambo ya Chadema?
Yupo upinzani kasaliti chama chake,wakiwa kwenye system akili huwa ziko likizoWaache ipo siku watalipa tu wamuulize leo hii mugabe yuko wapi?
Hadi jumamosi yatatokaVipi matokeo ya uchaguzi wa Zimbabwe yanakwendaje?
Mali ya mwenyekitiSaccos ni ccm iliyo binafsishwa
Bora lengo litimieIli mradi wanakula makombo
Tutafanya sherehe hapa ufipa.Hadi jumamosi yatatoka
Tatizo lenu mmeweka mahaba mbele hamtaki kukubaliana na ukweli mwaka huu mtapata tabu sanaHata wewe mbona ndugu zako hawakuamini kwa utapeli wako?
Sio shida kutuhabarishaKama ulishaachana na CDM sioni haja ya wewe kushughulika na Chadema.
Alivyoondoka slaa ndio CHADEMA ikafa au? Tena ndio kwanza tulivuna wabunge na madiwani wengi. Labda kama una hoja nyingineKwa maoni yangu, Kama kuna hasara nyingine kubwa CHADEMA wamepata baada ya kuondoka Dr. Slaa basi ni hii ya Waitara kuondoka. Ni hasara kubwa kwa Chama.
Waitara ni mwanasiasa kweli kweli. Nimefanya nae kazi zaidi ya miaka 8 na alikuwa rafiki yangu na nilikuwa napenda kazi zake hasa tulipokuwa kwenye chaguzi ndogo Igunga na Arumeru na Chalinze n.k
Waitara alipaswa kupewa nafasi aliyo nayo John Mrema au Reginald Munisi kwa sasa. Ila hofu ya Mwenyekiti wetu Mbowe ndio ilikuwa kikwazo kwake.
Huwezi kumlinganisha Waitara na Mrema au Munisi hata kwa sentimeta ila ndio hivyo hofu ikishaingia basi mambo ndio hivyo tena.
Waitara amekuwa na wakati mgumu sana Chadema tangu alipogombea Ubunge kule Tarime 2010. Mbowe alimtaka John Heche kijana wake. Waitara alimshinda Heche kwenye kura za maoni kwa mbali sana. Tangu wakati huo Waitara hajawahi kuwa na amani ndani ya CHADEMA.
Majaribio kadhaa ya kumfukuza uanaChama yalifanyika bila mafanikio. Mimi ni miongoni mwa watu waliomshauri Waitara kugombea Ukonga baada ya kuona vita imekuwa kubwa Tarime na ikisimamiwa na Mwenyekiti Mbowe mwenyewe.
Isingekuwa Ubunge Waitara angeshatimuliwa Makao Makuu nae siku nyingi pamoja na sisi. Ukweli ni kwamba sisi ni wapinzani wa Mbowe wa ndani ya Chama siku nyingi.
Mbowe ukimpinga tu Chuki ni ya milele. Visasi. Chadema itapoteza wengi kwa Chuki, Visasi na Majungu.
😀😀😀😀😀😀😀..............Lyatongaa.Umemsahau na lyatonga bora mkono uende kinywani