Kuondoka kwa Waitara: CHADEMA imepoteza sana

vijana wote wa Mbowe mliochangia,hamumjui Benson Mramba vizuri au ameifanyia nini chadema
Rudini kwa bwana wenu akupeni cv ya Mramba ndani ya chadema,lakini hamuwezekani kama mlimtukana Slaa matusi ya nguoni,kwa mramba hamtashindwa

Hatukatai lakini yeye ameshajiondoa afanye yake kwani Chadema ikifa yeye atakosa nini wakati yuko upande wa pili?
 
Wewe nawe ni bongolala hujui kucheza na siasa. Wenzako wanatengeneza fedha kwa kuhama wewe umebakia kutoa nyongo kwenye mitandao tu. Wenzako wanapokuwa kwenye upinzani huwa wanajitoa akili na kuikera serikali mpaka inaamua kufika bei ili kero zipungue. Wanahongwa vyeo na fedha ili warudi CCM au wanyamaze. Sasa wewe umebakia kutoa mishipa na hakuna unachpata. Hata mimi nadhani upinzani unaelekea kufa lakini ukifa ujue na wewe utakuwa huna hoja kwani hoja zako zote zimejikita kwenye kuishambulia Chadema.
Mbowe sio Chadema
 
Leo wapo hapa ukumbi wa Manyosa Pugu Kinyamwezi njiapanda ya dampo, wana kikao cha dharura katika jimbo la ukonga na mbowe yupo hapa leo.
 
Hatukatai lakini yeye ameshajiondoa afanye yake kwani Chadema ikifa yeye atakosa nini wakati yuko upande wa pili?
Sijajiondoa ni mwanachama mfu. Bado nina maslahi na Chadema na ustawi wake. Adui wa Chama ni Mbowe sio mimi
 
Hapa suala ni uwelewa tu ktk siasa, mosi kuna mfia chama na pili kuna mfia tumbo. Mfano mzuri wa mfia chama ni nape japo mwenyekiti wake anamzingua lkn ajawahi hama chama. Pia mfano mzuri wa mfia tumbo nia waitara anapenda vyeo mno tangu yupo ccm.
 
Kwa maoni yangu, Kama kuna hasara nyingine kubwa CHADEMA wamepata baada ya kuondoka Dr. Slaa basi ni hii ya Waitara kuondoka. Ni hasara kubwa kwa Chama.

Waitara ni mwanasiasa kweli kweli. Nimefanya nae kazi zaidi ya miaka 8 na alikuwa rafiki yangu na nilikuwa napenda kazi zake hasa tulipokuwa kwenye chaguzi ndogo Igunga na Arumeru na Chalinze n.k

Waitara alipaswa kupewa nafasi aliyo nayo John Mrema au Reginald Munisi kwa sasa. Ila hofu ya Mwenyekiti wetu Mbowe ndio ilikuwa kikwazo kwake.

Huwezi kumlinganisha Waitara na Mrema au Munisi hata kwa sentimeta ila ndio hivyo hofu ikishaingia basi mambo ndio hivyo tena.

Waitara amekuwa na wakati mgumu sana Chadema tangu alipogombea Ubunge kule Tarime 2010. Mbowe alimtaka John Heche kijana wake. Waitara alimshinda Heche kwenye kura za maoni kwa mbali sana. Tangu wakati huo Waitara hajawahi kuwa na amani ndani ya CHADEMA.

Majaribio kadhaa ya kumfukuza uanaChama yalifanyika bila mafanikio. Mimi ni miongoni mwa watu waliomshauri Waitara kugombea Ukonga baada ya kuona vita imekuwa kubwa Tarime na ikisimamiwa na Mwenyekiti Mbowe mwenyewe.

Isingekuwa Ubunge Waitara angeshatimuliwa Makao Makuu nae siku nyingi pamoja na sisi. Ukweli ni kwamba sisi ni wapinzani wa Mbowe wa ndani ya Chama siku nyingi.

Mbowe ukimpinga tu Chuki ni ya milele. Visasi. Chadema itapoteza wengi kwa Chuki, Visasi na Majungu.
Kwa hiyo Waitara alichaguliwa na Mbowe au wananchi wa Ukonga? Cheap and Stupid
 
Cdm mashababi wako kila muda unawawaza,gombea uwt nafasi zipo cdm tuache wenyewe,wanawake wataondoka watabaki wanaume
 
Last edited:
Leo wapo hapa ukumbi wa Manyosa Pugu Kinyamwezi njiapanda ya dampo, wana kikao cha dharura katika jimbo la ukonga na mbowe yupo hapa leo.
Usiache kutuhabarisha mkuu; jamvi lote hasa members wa Jukwaa hili tunakutegemea.
 
Hata ulipoondoka wewe, walisema/ulisema chadema imepoteza sana, SIO KWELI
ni mpito tuu, mwisho wa siku pumba na mchele vitajitenga
in this time or the other
 
Kwa maoni yangu, Kama kuna hasara nyingine kubwa CHADEMA wamepata baada ya kuondoka Dr. Slaa basi ni hii ya Waitara kuondoka. Ni hasara kubwa kwa Chama.

Waitara ni mwanasiasa kweli kweli. Nimefanya nae kazi zaidi ya miaka 8 na alikuwa rafiki yangu na nilikuwa napenda kazi zake hasa tulipokuwa kwenye chaguzi ndogo Igunga na Arumeru na Chalinze n.k

Waitara alipaswa kupewa nafasi aliyo nayo John Mrema au Reginald Munisi kwa sasa. Ila hofu ya Mwenyekiti wetu Mbowe ndio ilikuwa kikwazo kwake.

Huwezi kumlinganisha Waitara na Mrema au Munisi hata kwa sentimeta ila ndio hivyo hofu ikishaingia basi mambo ndio hivyo tena.

Waitara amekuwa na wakati mgumu sana Chadema tangu alipogombea Ubunge kule Tarime 2010. Mbowe alimtaka John Heche kijana wake. Waitara alimshinda Heche kwenye kura za maoni kwa mbali sana. Tangu wakati huo Waitara hajawahi kuwa na amani ndani ya CHADEMA.

Majaribio kadhaa ya kumfukuza uanaChama yalifanyika bila mafanikio. Mimi ni miongoni mwa watu waliomshauri Waitara kugombea Ukonga baada ya kuona vita imekuwa kubwa Tarime na ikisimamiwa na Mwenyekiti Mbowe mwenyewe.

Isingekuwa Ubunge Waitara angeshatimuliwa Makao Makuu nae siku nyingi pamoja na sisi. Ukweli ni kwamba sisi ni wapinzani wa Mbowe wa ndani ya Chama siku nyingi.

Mbowe ukimpinga tu Chuki ni ya milele. Visasi. Chadema itapoteza wengi kwa Chuki, Visasi na Majungu.
Nawewe mfuate
 
Unasema wapinzani wa mbowe? Tangu lini???
Hizi siasa za bongo bwana. Yaani imefika kipindi, sisi wananchi wa kawaida, tunaona mnatupigia kelele tu. Mnalitia hasara taifa kwa kurudia uchaguzi, alafu mnakuja na utumbo hapa. Shenz'i type
Waache ipo siku watalipa tu wamuulize leo hii mugabe yuko wapi?
 
Back
Top Bottom