DAVIES KILANGI
Senior Member
- Nov 25, 2018
- 174
- 119
Wakuu habari ya uzima, nini dawa ya kuondoa makovu.
Karibuni
Karibuni
Nijuavyo mimi mafuta ya Zaituni huondoa makovu, ngozi kuwa lakini, Mimi nayatumia kama scabu ni nzuri pia.wakuu habari ya uzima, nini dawa ya kuondoa makovu.karibuni