Sacsosanct Member Joined Sep 2, 2014 Posts 65 Reaction score 94 Monday at 7:21 PM #1 Wakuu msaada kwa anaejua jinsi ya kuondoa au sehemu wanayoondoa laminagion kwenye vyeti bila kuharibu ubora wake.
Wakuu msaada kwa anaejua jinsi ya kuondoa au sehemu wanayoondoa laminagion kwenye vyeti bila kuharibu ubora wake.
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 2,052 Reaction score 2,556 Monday at 7:28 PM #2 ili iweje? Una panga kufanya nini baada ya kutoa lamination?