Kuondoa FRP kwa simu hii solution yake hii hapa

Kuondoa FRP kwa simu hii solution yake hii hapa

Nimejaribu kudownload frp file nikatumia miracle na nck zote zinaishi kunipa ujumbe wa erros mwisho sp pia imegoma.tusaidiane jamani mbona watu tunakua na maroho yaliyojikunja humu.
 
Ha ha ha ha ha hatimae nimefanikiwa kwakutumia sp flash tool,japo members wamenibania,deal done.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom