L004
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 200
- 204
- Thread starter
- #21
Wakuu,
Nadhani imeshindikana tu,
Kila nalojaribu halifanikiwi,
Nabaki kujaza ma program mapya tu kwa laptop ambayo siwezi au sijui kuyatumia,
Niwashukuru tu wote mlionisaidia,
Ahsanteni sana
Pole ndugu... Simu kwa begginner huwa complicated Lakin simu uwanja wake mdogo sana na ili kujua unatakiwa usiwe na papara na ile give up hautaelewa Na utakosa pesa ndogo za Frp kama hiyo... Shida unaonekana unapenda kufanikiwa kwa zoezi lako haraka bila ya kufuata maelekezo sahihi na kujiongeza
Kwani kwa guide hapo juu ni kitu unaweza fanya kwa dakika kumi tu ukitulia...... Sasa kwa mfano kwenye iyo screenshot yako yaani badala ya ku unzip file then unafungua ilo Frp bin file wakati hauna apps husika ya kufungua ilo faili na pia hakuna haja la kufungua.... But yeah atleast you tried.... Uwe na siku njema
