Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,999
- 135,209
Wajemeni, vitu vingine kuhusu afya ya mtu, visikieni hivyo hivyo tuu!, kuna wanaonekana wazima kabisa na wako fit kisawa sawa, lakini wamekua wakianguka majukwaani kwenye kadamnasi za watu kwa zaidi ya mara moja!, hapo idadi ya kuanguka sirini ni unknown!, lakini kuna wanaoonekana ni wagonjwa kwa macho, ila hawajawahi kuanguka hata mara moja!. Kwa wanaodhani kuna watu ni wazee, wamkumbuke Kibaki, siku ya kuapishwa alikuja kwa whhel chair!, au hata Mandela etc!, kwenye baadhi ya masuala, age ain't nothing but a number!.