Bak byzo I.T
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 264
- 122
Wana jamvini
Hivi kuombwa sana pesa ni Dalili ya nini?
Mie ni mtanzania mwenye kipato cha chini tu ila ni madhifu unionapo,
Nashindwa kuielewa hii hali kwa maana sasa inapoelekea inazidi hali ya kuwa mie mwenyew sina uwezo.
Kwa maana mie mwenyewe sina pesa cha ajabu hata nsiye mjua barabarani na ni mtu na heshima zake na busara zake unisimamisha na kuniomba hela.
Nakuwa sina tu ndiyo maana huikosa toka kwangu, lakin mungu shahid ninavyo umia moyoni mwangu kwa kuto msaidia.