Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Yapi usimuambie aachane na mkewe tuFanya maamuzi magumu tu
Yapi usimuambie aachane na mkewe tuFanya maamuzi magumu tu
Sijamaanisha hivyo.Yapi usimuambie aachane na mkewe tu
Na hayo maombi ya pesa yanapitia wapi.? Je wanakwambia wewe direct ama wanamwambia mtoto wao/mkeo kisha mkeo ndo anakwambia.?
Kila wakikuomba wape afu andika ikifika mwisho wa mwaka kaombe maden unayowadai baada ya hapo uje lete mrejesho kama wameludiaWakuu,
Mimi ni mgeni kwenye ndoa, nina kama mwaka mmoja hivi tokea nimuoe mke wangu. Lakini kitu kilichonifanya niandike huu ni kutokana na kuchoshwa na kuombwa obwa hela na ndugu wa mke wangu.
Sijui utambiwa tusaidie hela ya kitu gani. Jamani matatizo hayaishi ukweni na huku mahari nilitoa na waliniganda sana wakati wa kuitoa.
Sijui nyie wakuu mliokaa kwenye ndoa kwa wakati mrefu mnaepuka vipi hii karaha.
Wanaomba direct kwangu
hahahahahahaha kwani amekuambia wapo nae? soma bhana msg vzr Mkuu. amesema wanaomba ikimaanisha hata wakiwa makwao.Pole bro
Ila naona ulikurupuka kufunga ndoa
Ingestahili ufanye uchunguz juu ya mkeo na familia yao
Sasa angalia omba omba wote wamekugeukia ww
Watimue bana warud walipotoka![]()
![]()
![]()
![]()
Umesmhirikishaa mkeo????Wanaomba direct kwangu