Kuombwa hela (mizinga) ya wakwe imenichosha

mbasa ya konge

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
240
Reaction score
599
Wakuu,

Mimi ni mgeni kwenye ndoa, nina kama mwaka mmoja hivi tokea nimuoe mke wangu. Lakini kitu kilichonifanya niandike huu ni kutokana na kuchoshwa na kuombwa ombwa hela na ndugu wa mke wangu.

Sijui utambiwa tusaidie hela ya kitu gani. Jamani matatizo hayaishi ukweni na huku mahari nilitoa na waliniganda sana wakati wa kuitoa.

Sijui nyie wakuu mliokaa kwenye ndoa kwa wakati mrefu mnaepuka vipi hii karaha.
 
Wakuu mimi ni mgen kwenye ndoa ninakama mwaka mmoja hiv tokea nimuoe mke wangu. Lakin kitu kilichonifanya niandike huu ni kutokana na kuchoshwa na kuombwa obwa hela na ndugu wa mke wangu. Sijui utambiwa tusaidie hela ya kitu gan. Jaman matatizo hayaishiukweni na huku mahali nilitoa na waliniganda sana wakati wa kuitoa. Sijui nyie wakuu mliokaa kwenye ndoa kwa wakati mrefu mnaepuka vip hii karaha.
Pole bro
Ila naona ulikurupuka kufunga ndoa
Ingestahili ufanye uchunguz juu ya mkeo na familia yao
Sasa angalia omba omba wote wamekugeukia ww
Watimue bana warud walipotoka
 
Kipato chako ni kikubwa sana kiasi cha kuweza kuimudu hiyo mizinga?

Kama upo hoi financially, fanya hivi: Andaeni bajeti yenu wewe na mkeo. Weka kila kitu kwenye bajeti na maliza hela yote (as per your monthly income). Siku wakiomba tena acha mkeo ndo adeal nao maana anajua situation ipoje.

Ila kama upo njema wape tafu tu jomba...weka heshima ukweni.
 
Wakuu mimi ni mgen kwenye ndoa ninakama mwaka mmoja hiv tokea nimuoe mke wangu. Lakin kitu kilichonifanya niandike huu ni kutokana na kuchoshwa na kuombwa obwa hela na ndugu wa mke wangu. Sijui utambiwa tusaidie hela ya kitu gan. Jaman matatizo hayaishiukweni na huku mahali nilitoa na waliniganda sana wakati wa kuitoa. Sijui nyie wakuu mliokaa kwenye ndoa kwa wakati mrefu mnaepuka vip hii karaha.
Wambie ulifunga ndoa na binti/Dada yao na sio ukoo.Japo kusaidia ndugu upande wa mkeo n vizuri but isiwe ile too much, Mi walitaka kuniletea hizo habari nkapiga pass ya mbali sasa hivi ninapumua maana kipindi kile kila wakati nilikuwa nawaza nisibutuliwe.
 
Kipato chako ni kikubwa sana kiasi cha kuweza kuimudu hiyo mizinga?

Kama upo hoi financially, fanya hivi: Andaeni bajeti yenu wewe na mkeo. Weka kila kitu kwenye bajeti na maliza hela yote (as per your monthly income). Siku wakiomba tena acha mkeo ndo adeal nao maana anajua situation ipoje.

Ila kama upo njema wape tafu tu jomba...weka heshima ukweni.
Kipato chako ni kikubwa sana kiasi cha kuweza kuimudu hiyo mizinga?

Kama upo hoi financially, fanya hivi: Andaeni bajeti yenu wewe na mkeo. Weka kila kitu kwenye bajeti na maliza hela yote (as per your monthly income). Siku wakiomba tena acha mkeo ndo adeal nao maana anajua situation ipoje.

Ila kama upo njema wape tafu tu jomba...weka heshima ukweni.

Kipato changu ni mshara wa 575000 tu kwa mwez labda mweshimiwa rais ikituongezea nitaweza kuimudu hiyo mizinga
 
A

Anza kuishi kwa bajeti aise. Weka savings japo kidogo kama utaweza. Ushauri wangu kudhibiti hiyo mizinga utakusaidia
 
Wakuu mimi ni mgeni kwenye ndoa, nina kama mwaka mmoja hivi tokea nimuoe mke wangu. Lakini kitu kilichonifanya niandike huu ni kutokana na kuchoshwa na kuombwa obwa hela na ndugu wa mke wangu.

Sijui utambiwa tusaidie hela ya kitu gani. Jaman matatizo hayaishi ukweni na huku mahari nilitoa na waliniganda sana wakati wa kuitoa.

Sijui nyie wakuu mliokaa kwenye ndoa kwa wakati mrefu mnaepuka vipi hii karaha.

jaribu kuwa mgumu kidogo ukiwaendekeza sana hautafanya lolote lile we waambie tu hali mbaya basi inatosha usijitutumue ili hali uwapatie pesa kwa heshima ya wakwe wengine too much
 
Inakuwa ngumu mno kumwambia baba mkwe au mama mkwe kwamba sina hela mpaka wanataka wanifanye nibadili namba yaani tarehe za mshahara wanazijua sana kama wako hazina
 
hahaha dah basi sawa hakuna namna we jiulize unavyo hudumia ukweni ni sawa na unavyo hudumia nyumbani kwenu jitahimini chukua maamuzi!
 
Pia akumbuke mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe
Tunza mkeo mengine mwachie Mungu
 
ongea na mkeo mwambie kiustaarabu tu kuwa unapata wakat mgumu unapoombwa pesa na wazaz wake kwani si mda wote unakuwa nayo na hata ikiwepo basi inabajeti yake na unaona mda mwingine hutaeleweka

Pili kama wazaz wana shida yoyote mpe yeye jukumu la kuambiwa halafu yeye ndio aliwasilishe kwako, kama anakujali kweli mizinga mingine atashindwa kukufikishia
 
Ndo mana mnaambiwa kabla ya kuoa chunguzeni kama bdo upande wa wakwe zako kuna independent people na background yao
By the way pole ila sasa jipange kuwekeza uweze kumudu mizinga
 
mhhh mizinga sipend wale wa kuomba omba bora ww mwenyewe uamue kutoa
 
Back
Top Bottom