Kuomba tena chuo wakati ulipata mara ya kwanz inaweza sababisha upoteze nafasi kwenye chuo ulichopata?

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Dogo amechagulia SUA Bsc.Human Nutrition, ashapewa hadi admission letter, sasa yeye hataki, anataka MD, ameamua kuapply tena vyuo vingine kujaribu kuomba MD, sasa je hii inaweza kusababisha SUA atemwe? Au haina madhara?
 
Huko SUA alikuwa anatafuta nini Kama lengo lake ni MD ? Kama amepata chuo kimoja ni vigumu sana kupata kingine anyway labda ajaribu
 
Ni usumbufu wa hali ya juu.. ninachohofia asije akawa cancelled na huko SUA pia, au hii imekaaje?
 
Itategemea muda wa kutoka majibu na hapo lazima aingizwe kwenye multiple selection hivyo atatakiwa ku confirm chuo anachotaka. Ushauri ni vema asome alichopata mazingira hayatabiriki
 
Dogo amechagulia SUA Bsc.Human Nutrition, ashapewa hadi admission letter, sasa yeye hataki, anataka MD, ameamua kuapply tena vyuo vingine kujaribu kuomba MD, sasa je hii inaweza kusababisha SUA atemwe? Au haina madhara?
Kama ameshapewa admission letter ina maana records za TCU zitaonyesha huyo amekuwa admitted SUA hivyo maombi yake ya MD very likey (kwa kiasi kikubwa) yatatemwa na TCU. Nafasi yake SUA nafikiri itabakia kuwepo (unless kama admission letter inasema vinginevyo). Kama kweli anataka ku-apply MD itabidi awasiliane na TCU aone kama watakubali kufuta udahili wake SUA na awe free kuapply chuo kingine.
 
Hawa madogo shida sana, unamshauri tena kwa kumsisitiza sana omba unachokitaka tu, hata ukikosa utajaribu tena mwakan, matokeo yake wanafany madudu wanachaguliwa wanasumbua. Kikubwa kama nafasi yake SUA haiwezi kuwa cancelled kwa kuapply kwingne basi ataenda huko
 
stress tu
 
Back
Top Bottom