KUOMBA SAHIHI ZA CELEBRITIES

KUOMBA SAHIHI ZA CELEBRITIES

SECRET AGENT

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
254
Reaction score
499
Naomba Niulize hili jambo la kuomba Saini kwa watu maarufu kama wasanii au wachezaji na watu wengine hua ni kwa maana gani au lengo gani naomba nijulishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya wazungu na yako imotional zaid.

[emoji375][emoji375]
 
Hayo ni mambo ya ulaya huku tunawaomba pesa na wakikaa vibaya tunawazama wenyewe mifukon
 
Back
Top Bottom