Kuomba no ya simu mwisho Chalinze, mjini Business Card!

Kuomba no ya simu mwisho Chalinze, mjini Business Card!

Mi business card yangu nikiwa town ni pesaa tuu...sabuni ya roho na mwili
 
Kama sina business Mimi ni Mkulima, hiyo namba nikimundikia kwenye noti ya dola 100 nitaonekana mshamba kwakuwa sina bizcard?
 
Nimeiona hiyo kwa prof mmoja wa udsm. Yaani sio business card ni cv. Sasa ile application ya camcard ikanigomea kusave manake haielewi ibebe kipi iache kipi. Ni shida tupu kwa kweli akili zikizidi
Kuna bussiness card mtu kaorodhesha kila kitu
hadi mjumbe wa NEC.CCM...
 
Kuandika kwenye noti nao ni ushololo wa kizamani kaka. Hujamsikia Kiranga akitoa somo la kutumia kadi kuchanja? halafu kuandika noti ni abuse esp $, wakikudaka unalo
Kama sina business Mimi ni Mkulima, hiyo namba nikimundikia kwenye noti ya dola 100 nitaonekana mshamba kwakuwa sina bizcard?
 
Back
Top Bottom