ni muhimu sana kuomba mara nyingi uwezavyo, na kadiri unavyonyimwa zaidi ndivyo karibia zaidi kupewa na unavyokua mzoefu zaidi wa kunyimwa na hatimae kunyimwa kwako linakua ni jambo la kawaida tu.Umewahi kuomba jambo fulani ukanyimwa, ilhali unajua kabisa yule mtu alikuwa nalo ila akaamua tu kutokukupa?
(wengine husema akakaza ,akadinda)
Kuomba aibu no uno
Kunyimwa aibu no two
kutangazwa aibu no 3
Kuomba halafu ukanyimwa ni aibu 🤣🤣
Ni kama umejidhalilisha halafu bado husaidiki
Yaani umejianika, umeweka wazi hitaji lako, lakini mwisho wa siku hupewi ng'oo 🤪
Wewe umewahi kuomba nini ukanyimwa? Na ulijisikiaje?
Mara nyingi muombaji akinyimwa hujuta na kutamani asingethubutu kuomba kabisa lakini ni too late 😁
Lakini pia kuna msemo unasema, Ukinyimwa, unajifunza kutafuta vya kwako ( Wahenga🤔)
Lakini sasa najiuliza...
Hivi kweli kila kitu kinaweza kupatikana bila kuomba? 🤪
Au kuna mambo ambayo bila kuomba huwezi kuyapata kamwe? 🤔
Weekend hiyoooo
NB : Kulombana sio anasa
ShesRise_1 🖐
ERoni ndio mubebe wako..Lipi tena!!
We unakunywa WANZUKI kabisa..Ushaanza kunywa visungura eeh!! Unamixiwa wapi tena?
Nasema kwa kinywa kipana kabisa.. huyu anataka kutu MIXX by yas mie na ndugu yangu ERoniUsiseme hivyo jamani😢
Ulidhani no siri..Heeeeh! Umefikaje huku tena🙆♂️🙆♂️🙆♂️
🤣🤣🤣🤣ERoni ndio mubebe wako..
Kaa kwa kutulia huko..
Niache mie na maisha yangu bibie
Hebu muache asijejing'ata. Yuko mahali anatumika.
Kumbe hujaacha tu🙆♂️🙆♂️🙆♂️Ulidhani no siri..
Unakjua uswahilini ww, mtu anakunyima ugali ila sio neno...
Naisikiliza ngoma ya nature sitaki demu...
Imefikia kipande kile cha ulipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda..
🤣😂😂
Sabato imeanza mama, kuwa mtulivu😅
Yani wewe, nimeandika the same..😅😅mchawi wewe!!Na akirudi cha kwanza kusingizia ni sabato, we subiri arudi uone!
Mchawi mwenyewe kwanini uchepuke😏Yani wewe, nimeandika the same..😅😅mchawi wewe!!
Naomba 100k mdau nina kipengereni muhimu sana kuomba mara nyingi uwezavyo, na kadiri unavyonyimwa zaidi ndivyo karibia zaidi kupewa na unavyokua mzoefu zaidi wa kunyimwa na hatimae kunyimwa kwako linakua ni jambo la kawaida tu.
AmenOmbeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtapata, bisheni hodi nanyi mtafunguliwa.
usikate tamaa wala usichoke kuomba 🐒
Hakuna namna ukachukua kwa lazima?Acha tu Mahi, siku hizi unaomba unanyimwa halafu unanuniwa. Aliekunyima nae pia anaona aibu. Yaani wote mnaona aibu hadi mnanuniana😀😀
Unajizima data ona magari yamegongana🤣🤣🤣 Babu gani tena?
Nasubiri wakutupe nikuokote niwe na kupeleka msalaniKaka,
Wala usiwaze😅😅binafsi nimechoka sana, nguvu zilizobaki ni za kuendea msalani tu!
Yaani ila yote maishaUnamuomba HR unajimaliza unajishusha had siri za ndani kisha anakunyima anaenda staff kwao anaenda kukufanya agenda Daah inauma sana kisa 100k tu