Kuna makosa ya kuomba samahani kuna mengine hayana msamaha.
Kuna makosa ya kuomba samahani kuna mengine hayana msamaha.
Makosa gani hayo yaweke wazi Fidel
husiombe samahani kwa kosa ambalo hujafanya na ikitokea umeomba ni lazima uni-declare kabisa kuwa unafunika kombe mwanaharamu apite.
...swadakta! unakumbuka kindergatten/primary school na hata boarding school (enzi za u -njuka aka form 1) kulikuwa na wale bullies? yaani almuradi tu akuchokoze mpigane? How did you cope with that?
..tactics zile zile zilizoku shape utotoni ndio zitumie ukubwani, kwani unajua faida na hasara zake. Kama 'vagi' litakunasua kwenye makucha yake, ruksa! ...kama ukimpuuzia ajione mjinga ndio suluhisho, deal with it!
...binafsi nakushauri mpuuzie. Hawa spouses wetu kuna wengine ni spoiled brats tangia huko mwa wazazi wao, kwetu wanakuja kuhitimisha tu. Mpuuzie.. mwache ajigalagaze machangani, apige mayoe hata akitaka ajikojolee, mwache hivyo hivyo na 'nepi' yake!
... Ignore him!
Wengi huomba samahani hata kama hawajakosa ili mambo yaishe na maisha yaendelee..maana hakuna haja kupoteza muda huku mmekasirikiana wakati maisha ni mafupi mno.Ukinuna siku au wiki nzima kwanza unapungunza uhai wako kwa siku au hata masaa machache.Is it worthy it?
Makosa gani hayo yaweke wazi Fidel
Ukiwa mke wa mtu unaelewa kabisa ni kosa kujiexpress nje ya ndoa unadiliki kumegwa na kuzaa nje na huyo huyo serengeti boyz au beberu/dume hili kosa sidhani kama linamsamaha.
Ukimegwa tu bila kujiexpress unaweza ukasamehewa lakini kwangu mimi kosa kubwa ni hili la kujiexpress na mtu mwingine yaani hilo beberu lifaidi napo faidi mimi wengine watauliza utajuaje? Watu tuna software kwenye vidole nagundua tu.
Kuna makosa ya kuomba samahani kuna mengine hayana msamaha.
........,,,,,,, tahadhari kwa wale wenye mpango wa 'kukutana' na Fidel: Usimruhusu aku'massage' side B. (joke)
...una maana kuna makosa unaweza kuomba msamaha, na kuna makosa huwezi kuomba msamaha?.
Yale makosa unafanya kosa huku ukielewa unatenda kosa unaomba msamaha wa nini wakati umekusudia kutenda kosa na kurudia tena na tena kosa hilo hilo ukiomba msamaha ni kuonyesha dharau kwa mtendwa.
...na je mtu anayekukosea na anajua kabisa hapa nimecheza rough lakini haombi msamaha wala nini tena ndo kwanza anaact kama vile hakuna kilichotokea (hata kama anajua wewe una hasira) utamwelewaje?
........Watu tuna software kwenye vidole nagundua tu.
Hahahaha yeah yeah hapo mama inakuwa hakuna cha msamaha nimewahi uacha mzigo mjengoni hivi hivi baada ya kupima software nika detect kitu used nikaacha mpaka kesho ananiangalia hanimalizi.
...swadakta, MJ'1 swali lako limejibiwa!...
Aksante Mbu .......... ila hiyo ya pili mbona umepata kigugumizi cha ukubwa kaka?
...swadakta, MJ'1 swali lako limejibiwa!...
...ipi hiyo dada'ngu?
........... mh na we nawe hiyo okota okota yako! Utajaokota mabomu shauri yako Fidel.
WFS unaweza kufanya hivi lakini mimi nina uhakika tabia hii ikizoeleka athari zake ni kubwa kuliko kukataa kuwa hujafanya kosa hilo na kama unaomba radhi ili kuepuka mgongano kuwa wazi kabisa kuwa unafunika kombe mwanaharamu apite.
Mimi haiwezekani mke au mpenzi wangu aniambie unatoka nje ya mahusiano nimkubalie na kumuomba radhi wakati sio kweli. Hata siku moja siwezi fanya ujinga kama huu