Kuomba Bank statement ina cost fedha?

Soma uelewe ....bank statement unaweza ku download mwenyewe kwenye online banking ila kama utahitaji muhuri ili upeleke sehemu labda ukaombe visa au mkopo kwenye taasisi nyingine ya kifedha itabidi uende bank waka kupe print out yenye muhuri ambayo utalipia....
 
Tatizo ni moja mkuu ujuaji umekuzidi na ukiherehere na ukihedemsede pia sijakuquote kiasi cha kunimwagia gazeti lote hilo na pia sio wote wanaoweka pesa zao bank wana simbanking. Na huko online sio bure. Cha bure duniani pumzi tu.
 
Na ujanja wote huo kumbe hutunzi pesa bank 😹😹😹
Hiyo unalipia kabla hawajakutolea sawa Kenzy 🤣
 
maswali ya muhimu kama haya huwezi kukuta account officials za hizo bank wakiyajibu..
 
Tatizo ni moja mkuu ujuaji umekuzidi na ukiherehere na ukihedemsede pia sijakuquote kiasi cha kunimwagia gazeti lote hilo na pia sio wote wanaoweka pesa zao bank wana simbanking. Na huko online sio bure. Cha bure duniani pumzi tu.
Uko sahihi mkuu nikifuata ile principal yangu ya "don't argue with fools"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…