Ni suala la dakika 2 na ni BUREWadau vipi kuomba bank statement inahitaji kulipia..?
kama kuna kulipia ni shingapi..?
Bure kama una pesa kwenye bank..Wadau vipi kuomba bank statement inahitaji kulipia..?
Kama kuna kulipia ni shingapi..?
Sio bure huwa kuna makato kwenye account, benki kabisa?!!! Wakupe huduma ya bure?!! Labda maulizo ya mdomo ndio bureBure kama una pesa kwenye bank..
Elf 20 bank statement...!!? Kama uliitoa cash Umeibiwa apobank statement ni bure kama unataka kuangalia miamala yako ambapo pia unaweza kuprint mwenyewe kwa kutumia internet banking lakini kama unataka bank statement kwa ajili ya kupeleka sehemu inabidi igongwe muhuri na hapo ndipo utalipia mara nyingi ni elfu ishirini
😄 Nilitaka nishangaeSio bure huwa kuna makato kwenye account, benki kabisa?!!! Wakupe huduma ya bure?!! Labda maulizo ya mdomo ndio bure
BureWadau vipi kuomba bank statement inahitaji kulipia..?
Kama kuna kulipia ni shingapi..?
Sio bure pesa inakatwa kwenye accountBure
Hakuna cha bure mjini.Ni suala la dakika 2 na ni BURE
Bank statement SIO BUREE.bank statement ni bure kama unataka kuangalia miamala yako ambapo pia unaweza kuprint mwenyewe kwa kutumia internet banking lakini kama unataka bank statement kwa ajili ya kupeleka sehemu inabidi igongwe muhuri na hapo ndipo utalipia mara nyingi ni elfu ishirini