l used the word kuolewa ambalo linatumika kwetu tu (kiafrika)
Sihitaj kugeza mambo ya kizungu, ila nataka kujua heshima ya mwanamke kwa maana ya 'kuolewa'.
Kama hakuna tofauti na utumwa then its humiliation, can't you see that Sir?
Kuolewa kuna maana gani?
Mwanaume anaposema 'siwez kupika (mfano) kwani mi ndo nimeolewa?'
Does it mean kuolewa haina tofauti na kua mtumwa wa mwanaume?
Does it mean wanaume wanaoongea hayo hawajui maana ya kuoa?
What does kuolewa mean?
The first is always good.........She is Lucky....
kuchangamshana viungo siku moja mojasi mbaya
hapo kwenye red ndo sisi ambao hatujaolewa , halo ya nyauKuolewa si lazima/ ila inaongeza heshma/ina hadhi yake/haijalishi we ni mke wa kigogo au mkulima_mwanafa.
Wengine wanaolewa ili wapate tu respect kuwa yeye sio nungayembe!!
hapa ndipo ninashindwa kuelewa kwanini niwe chini ya himaya yake???ni kwanini sote tusiwe chini ya kila mwenza?kwamba yeye yuko juu nad mwenye final says???
Ongelea upande wa pili wa majukumu ya mume (in the same african marriage) ili usiwe biased. Chakula kinapokosekana nyumbani, ada ya shule wa watoto ikikosekana, makazi bora etc ni nani anawajibika? au wanawake hayo hawayaoni?ni mtazamo wangu tu jamani.....kiafrika, kuolewa ni sawa na kuikana nafsi yako na kuwa chini ya "kichwa cha nyumba". mfumo dume uko hata miongoni mwa wanawake wengi tu. baadhi ya wanawake hawapendi kuwaona waume zao wakifanya "kazi za wanawake" including cooking, washing, etc. na ikionekana mume anafanya hayo kwa ridhaa yake, watu husema kapigwa kipapai/limbwata.
mfumo dume is deep rooted and it can't be easily uprooted.
omba Mungu akuongoze upate mume aliyekombolewa ,kifikira ili asikufanye mtumwa wake.
Kuolewa kuna maana gani?
Mwanaume anaposema 'siwez kupika (mfano) kwani mi ndo nimeolewa?'
Does it mean kuolewa haina tofauti na kua mtumwa wa mwanaume?
Does it mean wanaume wanaoongea hayo hawajui maana ya kuoa?
What does kuolewa mean?
wewe unaweza sababisha @figaniga animwagie tindikali...lol
namuona anaweka like kila ninapokujibu lol
ngoja nije pm lol
hahaaaa mi bado nipo nipo sana siolewi leo wala kesho
uko tayari kusubiri!!!!!!!!!LOL
The first is always good.........She is Lucky....
kuchangamshana viungo siku moja mojasi mbaya
All in all jamani africa ibaki kua ni africa tuu tusiige ya wazungu ...kwa mila za kiafrica mwanaume kukaa jikoni mkewe yupo tu kakaa sidhani kama itatokea hii na ikainekana ni good thing so mwanamke kama mzima hauna kazi nyingine yakufanya kwa nini usipike tu....maisha ya kwenye tamthilia za kifilipino kamwe usiyalete kwenye tamaduni zetu za kiafrika.....full stop.
Mimi nadhani hii ya kupika, kudeki n.k. ni kazi za wamama (kiafrika) kwa sababu toka wakiwa wadogo mama zetu wanaweka msisitizo kwenye kufundisha dada zetu kujifunza kazi hizo.
mi niko tayari kusubiri hata miaka 100 mbele.
Ndo maana mimi kuolewa sitaki, nataka KUOANA!!!!!!!!!!! LOLEST!